Kijana
mmoja Nchini Kenya mwenye Umri wa miaka
23 amepelekwa kituo cha polisi huko nyeri kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi
na Mbuzi..Inasemekana jamaa
huyo alimfunga mbuzi huyo kwenye mti nyakati za
usiku na kuanza kumfanyia unyama huo..Bibi yake kijana huyo(ambaye ndo mwenye
mbuzi huyo) alidai kua ”alikua amelala na
kusikia Mtu akihangaika kumtoa mbuzi huyo zizini.. Alivyoamka alimkuta mjukuu
wake akiwa kifua wazi a lakini alipomuuliza kijana huyo kunanini ,? Kijana alidai
alikuja kumuangalia mbuzi huyo baada ya kusikia analia..
Bibi
huyo(Wangui) alisema alikua hajui mjukuu wake anataka kufanya nini na akasema
pia kijana huyo alianza kuwa na tabia isiyoeleweka toka alipokimbia kutoka
kitale miaka miwili iliyopita..Kijana huyo alikamatwa na jirani ambaye pia
aliamshwa na kelele za mbuzi hao..
Kijana
huyo alikimbia lakini baadae alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi..
0 comments :
Post a Comment