Nimezaliwa
Dar es salaam.. Mambo kibao nimepitia (+vity100%) ukichangia mazingira
nliyokulia nmejifunza na kuona mambo mengi.. #bangi #pombe hata #sigara
hayo ni mambo nmeona watu wangu wengi hata wa karibu wakitumia mfano mzuri alikua #babaAngu mzazi akitumia ( R.I.P) ila kuhusu Unga Ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana maana hakuna hata mtu yoyote wa karibu yangu niliyeona akitumia, zaidi nilichoona ni wote waliotumia hamna hata mmoja kati yao alietumia hayo madawa akafanikiwa.. nachohitaji kuwajulisha watu wangu wote ni kwamba imani yenu kwangu kuhusu kijitambua isishuke kwa chochote mtakaacho sikia ila zote zinaweza kua FUnunu tu! Stay tune.
Source:djchoka.blogspot.com
0 comments :
Post a Comment