Meneja wa zamani wa Manchester
United, Alex Ferguson amepewa heshima kwa kuzindua mtaa uliopewa jina lake
uliopo karibu na uwanja wa Old Trafford.
Mtaa uliokuwa unaitwa Waters Reach
kwa sasa utakuwa Sir Alex Ferguson Way.
Akifungua mtaa huo Ferguson alisema
kuwa hatua hiyo inaashiria safari ya miaka 26 yenye mafanikio kama kocha wa
Manchester United.
0 comments :
Post a Comment