Thursday, 17 October 2013

BAADA YA VYAMA VYA SIASA KUMSHAMBULIA..HICHI NDICHO ALICHOKISEMA ZITTO KABWE..



Baada ya vyama vya siasa kumsambulia hichi ndicho alichokisema Zitto kabwe..Tazama hapa chini...


1 comments :

Godwin mariki said...

ukiona mwanasasa mwenye dhamana ya kuwasilisha taarifa akiwashambulia wengine hadharani jua karibia anaacha siasa au amesharubuniwa.
Zitto ni Katibu mkuu msaidizi wa chadema ndiye wajibu wake na katibu mkuu kuhakikisha wanakaguliwa na CAG sasa anamwambia nani peleleke hizo taarifa kwa CAG kama sio kufilisika kisiasa. angepeleka za kwake kwanza zikaguliwe ili awe mfano wa kuigwa na vyama wenzake. yeye hajapeleka anawanyooshea nan vidole
TOA KWANZA KIBANZI KWENYE JICHOLAKO NDO UTOE BORITI KWENYE JICHO LA MWENZAKO ndo ustaarabu. sheria anza kuitekeleza wewe ndo uelekeze na kama wenzake hawakujua awape darasa si ndio katibu wao? huo ni usanii mkubwa usio vumilika

Post a Comment