Friday, 25 October 2013

WEZI WAIBA AKAUNTI ZA PROFESA JAY..TAZAMA ALICHOKISEMA HAPA..



Wezi wa mitandao wamezidi kuiba A/C za wasanii baada ya kuiba Akaunti ya Kala Jermiah, Benpol, leo hii wamehack akaunti ya Profesa Jay…tazama alichokisema baada ya Akaunti yake Kuibiwa....

Hii Ni kurasa iliyokuwa chini ya rapper Profesa Jay saa chache zilizopita ila jioni hii nimepata taarifa kuwa wezi wa mitandaoni wameingia kwenye kurasa hii na kuanza kuitumia vibaya.

 
 Post kutoka kwenye kurasa zimeonekana kwenye account ya twitter ya Profesa Jay. Tahadhari kwa mashabiki wa Profesa kuhusu taarifa zozote zitakazo onekana kwenye hii kurasa kuwa hazijatoka kwake.

0 comments :

Post a Comment