Thursday, 24 October 2013

NICKI MINAJ: QUEEN LATIFAH NDIYE ALIYENISHAWISHI KUFANYA MENGI KWENYE MUZIKI



Rapper wa Young Money Nicki Minaj Amesema Mambo Mengi Kwenye Muziki Wake Yamehamasishwa Na old skul rapper wa kike Queen Latifah na ndio maana muonekano wake ni kama wa Latifah.
Kwenye kipindi cha Queen Latifah Nicki Minaj amefunguka kuwa anashukura sana alipata nafasi ya kusikiliza kazi zake mapema na kujua nyayo za msanii gani azifate Nchini Marekani. Picha hii moja wamepiga wakiwa pamoja kwenye kipindi cha Latifah ' The Queen Latifah Show'

0 comments :

Post a Comment