Thursday, 24 October 2013

HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEPATA UMAARUFU KWA KUA NA MAZIWA (MATITI) MAKUBWA ZAIDI DUNIANI..



Hawkins Turner (53) ni mwanamke anayetokea Georgia Atlanta, mwanamke huyu ana Matiti Makubwa zaidi duniani na  huvaa sidiria yenye size 102zzzz,, Mwanamke huyu aliiambia TLC kwamba Umbo lake limemfanya awe maarufu kwenye nchi zingine
baada ya  kuvunja record ya Kua mtu mwenye Maziwa(matiti) makubwa ya asili duniani..Mbali na hayo pia Mwanamke huyu alielezea jinsi alivyoajiri walinzi kwa ajili ya kumlinda kutokana na  wale wabaya watakaomsumbua…cheki picha zaidi hapa chini..

 

0 comments :

Post a Comment