Monday, 21 October 2013
NILILIPWA DOLA 2,5OO KWA AJILI YA KUMUUA TUPAC SHAKUR- DEXTER ISAAC
Kijana mmoja aneyekwenda kwa jina la Dexter Isaac ambaye anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kukutwa na makosa ya kuua na kuteka..ameongea na kusema kua
yeye alihusika kumpiga risasi Marehemu Tupac Shakur huko Manhattan katika miaka ya 1994..katika maongezi yake Kijana huyo alidai alilipwa dola 2,500 na Bwana James “Jimmy Henchman” Rosemond (CEO wa Czar Entertainment na manager wa The Game), kwa ajili ya kumpiga Tupac risasi..Tukio ambalo alishtumiwa B.I.G moja kwa moja na baadae kupelekea kifo chake pia ..
Katika hotuba hiyo ,Isaac ameomba msamaha kwa Familia ya Tupac na B.I.G na kusema kua anajutia kujihusisha na Rosemond na kumuita ni Mnyonyaji…Rosemond kwa sasa anatafutwa na shirika la kuzuia matumizi ya dawa za kulevya (DEA) kwa kuhusika na usafirishaji wa dawa aina ya cocaine..
(Africanewspost )(tafsiri ya kiswahili)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment