
Stori: Imelda Mtema...
MKALI wa sinema za Kibongo, Irene Paul amesema wakati wake wa kuolewa ukifika, hatatolewa mahari kama ilivyozoeleka badala yake atachukuliwa bila ya mume

Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Irene
alisema linapokuja suala la kuolewa huwa haoni maana ya mahari kwani mahari
inayotolewa haiwezi kufika hata theluthi ya malezi ambayo wazazi walimlea.

“Kama tumeafikiana kuoana na mchumba wangu
sitahitaji mahari kabisa maana kwa upande mwingine naona kama ni kutugeuza kama
watumwa sisi wanawake,” alisema Irene Paul.
0 comments :
Post a Comment