Monday, 28 October 2013

HII NDO KAULI YA LINEX KUHUSU KUFANYA SHOW MWAKA HUU..



Katika kuelekea kukamilisha mpango wake wa kutambulisha muziki mpya kutoka kwa Linex, ametangaza rasmi kurudi tena kwenye show za club za Dar es salaam mwakani baada ya kuwa tayari kutambulisha muziki huo.
Msanii Linex Sunday Mjeda ametangaza rasmi kutofanya show kwenye Club za Dar es salaam mpaka kuisha kwa mwaka 2013 na muda huu atakuwa akifanya mchakato wa kufanya collabo na wasanii kutoka nje ya Nchi kama Nigeria na Jamaica. Linex amesema anataka kujipanga tena kwa mwaka 2014 iliakionekana kwenye jukwa tena mwakani awe mpya kwenye macho ya watu.

Show Ya Mwisho Linex amefanya kwenye jukwa la club jijini Dar es salaam ni show ya Bob Junior iliyofanyika Club Bilicanas Jana usiku wakati wa utambulisho wa wimbo mpya wa Bob Junior ft
Vanessa Mdee - Bashasha.

sammisago.com

0 comments :

Post a Comment