Msanii mahiri wa kike Tanzania
katika ulimwengu wa Bongo Fleva maarufu kama Linah, alikanusha uvumi wa kuwa
eti yeye amechumbiwa kutokana na picha alizozipost za Pete ya Uchumba katika
mitandao ya kijamii, Msanii huyo pia aliongeza
kua zile picha alzozipost za
pete ya uchumba nizilikua za rafiki yake ambaye kwa sasa anategemea kufunga
ndoa. Mwana dada huyo alisema kwa sasa bado hajafikiria swala la kuolewa kwa
sababu mpaka sasa mwanaume mwenye nia hiyo bado hajajitokeza na hatokurupuka
katika swala hilona kama muda muafaka ukifika basi anaamini na yeye ataolewa tu.
Gongamx.com
0 comments :
Post a Comment