Hizi ndizo baadhi ya picha ya behind the scene ya ngoma mpya ya Rihanna inayotegemewa kutoka wiki ijayo...wimbo unaitwa ''Pour it Up''...nguo zake za Nusu uchi zahusika..cheki hapa
MSANII wa sinema za Kibongo,Zuwena Mohemed‘Shilole ameandikiwa barua
yenye ujumbe mzito na mtoto wake aitwaye Joyce akimuasa mama yake kuwa
care na kila kitu anachokifanya.
Bervely Osu na Angelo collins wamekutana jana katika birthday ya BERVELY na kukumbushana enzi za BBA..wawili hao walipigwa picha wakiKISS katika sherehe hizo zilizofanyika katika Club ya AURA..Cheki picha hapa..
Hatimaye KHLOE kardashian ametoa jina la
mumewe kwenye akaunti ya intagram na sasa ametoa pia kwenye akaunti yake ya
Twitter...hebu cheki muonekano wa sasa ..
Tim Patch ni msanii kutoka Australia ambaye
jina lake la kazi (nickname) ni Prickasso.. M-Australia huyo alipata umaarufu
mkubwa duniani baada ya kutumia kiungo chake cha uzazi (uume) kuchorea
Rapa Gucci Mane amejitokeza na kuomba
msamaha kwa kile alichokiandika kwenye Twitter kilichokua kikiwachafua wasanii
wenzake (T.I , Nocki Minaj, Drake na wengineo) na Music industry kiujumla......
Gucci ameomba msamaha huo kupitia account yake ya twitter nakudai amekua
Video queen
maarufu Tanzania Agness Gerald aka Agness Masogange au Eggy ambaye alikamatwa
huko South Africa kwa tuhuma ambazo ziliripotiwa kuwa ni kusafirisha mzigo wa
dawa za kulevya