Video queen
maarufu Tanzania Agness Gerald aka Agness Masogange au Eggy ambaye alikamatwa
huko South Africa kwa tuhuma ambazo ziliripotiwa kuwa ni kusafirisha mzigo wa
dawa za kulevya
ameachiwa huru huko South Africa. Agness alikamatwa huko na mdogo
wake.Taarifa mpaka sasa kutoka kwenye facebook yake na account yake ya instagram zinaonyesha kuwa ameachiwa huru kutoka polisi.
Kurasa yake ya facebook ilikuwa kimya toka mwezi wa saba na juzi 17 September 2013 Agness aliandika status mpya. Ziko Hapa..
Na Kwenye Instagram Yake Aliandika Hivi.
Baadae aliweka picha hizi kwenye akaunti yake ya instagram
0 comments :
Post a Comment