Thursday, 19 September 2013
BAADA YA MENGI KUSEMWA KUHUSU PETE ALIYOMVALISHA MCHUMBA WAKE... LUCCI AWEKA MAMBO SAWA....
Baada ya mengi kuongelewa kuhusu pete aliyomvalisha mchumba wake wa sasa kua inaweza kua ni
pete ile ile aliyomvalisha mchumba wake wa zamani Mwanadada "Feza Kessy"... Lucci atoa ufafanuzi na kuweka mambo sawa... msikilize hapo chini.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
1 comments :
wabongo
Post a Comment