Wolper akiwa na Salha katika muvi mpya ambayo Jacklin wolper kaigiza kama mtoto wa rais..
cheki picha zingine hapa chini.......
Jacklin Wolper pamoja na Salha na bodyguards wa jacklin
Jacklin Wolper akiwa na Salha (miss Tz 2011) katika muvi mpya inayoandaliwa na RJ company ambayo jina lake halijafahamika bdo... jacklin kaigiza kama mtoto wa rais na Salha kama mpambe wake na rafiki yake wa karibu...
0 comments :
Post a Comment