Mwanamuziki na muimbaji “Teyanna Taylor”
ameingia katika bifu zito na Rihanna.. na hii ni baaada ya Rihanna
kupost video
kwenye akaunti yake ya instagram ya mwanaume alievalia wigi ndefu akiimba wimbo wa sweet love wa Anita Baker... Hii
ilimfanya Teyanna kufikiri kwamba Rihanna alikua anamkejeli kwasababu nae alipost video wiki mbili zilizopita akiimba
huo huo wimbo...
Baada ya kuona picha instagram, Teyanna
aliingia kwenye Twitter na kuanza kushusha maneno huku Rihanna akijibu...cheki
jinsi mambo yalivyokua..
0 comments :
Post a Comment