Tim Patch ni msanii kutoka Australia ambaye
jina lake la kazi (nickname) ni Prickasso.. M-Australia huyo alipata umaarufu
mkubwa duniani baada ya kutumia kiungo chake cha uzazi (uume) kuchorea
badala
ya brush za kawaida za kuchorea...
Msanii huyo alipata umaarufu mwaka 2006
katika maonyesho ya 10th Annual Sexexpo ambapo Tim alionyesha picha
na kujiita mwanzilishi wa aina mpya ya uchoraji...
Toka Tim Patch awe master wa aina hiyo ya
uchoraji ni dhahiri kwamba ameamua
kutumia kiungo hicho cha uzazi katika utengenezaji wa picha mpya.badala ya kazi
yake maalum..
Tim aliweka wazi kua anapenda kuchora sana
picha za wanawake, wanasiasa ,na watu maarufu...hebu cheki baadhi ya picha zake
alizochora..
0 comments :
Post a Comment