Nguli wa muziki wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ameonyesha kumkubali dogo anayekuja kasi
kwenye muziki wa Hip Hop Bongo,Young Killer kuwa ni msanii anyefanya vizuri kwenye tasnia hiyo..
Kupitia mtandao wa Instragramu aliuliza kuwa Nani Kaimba huu wimbo wa Mrs Superstar!!!Nijulisheni I like his Flow!He is a gud rapper.
Young Killer
Ndio mashabiki wakamwambia kuwa ni dogo mmoja
anaitwa Young Killer.
0 comments :
Post a Comment