Tuesday, 10 September 2013
JOKATE AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA LUCCI.. CHEKI HAPA..
Baada ya kutoka kwa kazi mpya ya Lucci na Jokate' Kaka Na Dada' Pamekuwa na maneno
mengi mtaani kuwa wanamahusiano ya zaidi ya urafiki na kikazi. Well ukitazama video yao ni rahisi kuwa na fikra hizo ila ile ni kazi tu na video ni kuigiza tu. Sio kila tendo tunaloliona kwenye video ni kweli.
Leo kupitia Instagram yake Jokate amesema yote, Yako Hapa
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment