Wema Sepetu ameonesha upande wa pili wa maisha yake baada ya kunaswa akikata mauno mwanzo mwisho
Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Kibongo, Madam alifi ka na kampani yake
katikaUkumbi wa Thai Village, Masaki jijini Dar hivi karibuni na
ndipo ‘mashetani’ yalipompanda baada ya kusikia sebene lililokuwa
likiporomoshwa na Bendi ya Skylight.
Wema akiwa na kampani yake wakionekana kukolea kwa kilevi, waliinuka na
kuanza kushindana kucheza huku Wema akijiweka ziro distance na mmoja wa
wanamuziki wa bendi hiyo na kuanza kumkatikia.
0 comments :
Post a Comment