
Rapa Gucci Mane amejitokeza na kuomba
msamaha kwa kile alichokiandika kwenye Twitter kilichokua kikiwachafua wasanii
wenzake (T.I , Nocki Minaj, Drake na wengineo) na Music industry kiujumla......
Gucci ameomba msamaha huo kupitia account yake ya twitter na kudai amekua
addicted na kilevi
(lean/sizzurp) na anaelekea Rehab... cheki hizo tweets hapa..
0 comments :
Post a Comment