Sunday, 29 September 2013

WASHIRIKI HAWA WA "BBA THE CHASE" WAKUTANA NA KUKUMBUSHA ENZI ZAO..TAZAMA HAPA


Bervely Osu na Angelo collins wamekutana jana katika birthday ya BERVELY na kukumbushana enzi za BBA..wawili hao walipigwa picha wakiKISS katika sherehe hizo zilizofanyika katika Club ya AURA..Cheki picha hapa..





 

0 comments :

Post a Comment