Saturday, 7 September 2013
CHEKI PICHA ZA RIHANA AKITOKA CHUMBANI (HOTELINI) KWA ASAP ROCK
Habari kutoka Daily Mail zinasema msanii Rihana (25) ameonekana akitoka chumba cha hoteli cha
jamaa anaehisiwa kua Boyfrend wake"ASAP ROCK"... Rihana alionekana akitoka chumba hicho asubuhi akiwa amevalia nguo za chini (pants) zinazofanana na nguo alizovaa usiku kabla..tukio hilo lilitokea Alhamisi asubuhi, New york.. Cheki picha hapa...
Cheki na picha zingine zilizofanya watu kuhisi wawili hawa watakua wanakitu kinaendelea baina yao..
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment