Saturday 30 November 2013

HIKI NDICHO KILICHOMFANYA T.I.D KWENDA MAHABUSU JANA USIKU..



Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake,  Mariam Nnauye...soma zaidi hapa..


Huyu Ndio Mariam Nnauye. Taarifa zinasema kuwa ugomvi ulianza maisha club jana usiku baada ya TID kumkuta Mpenzi wake akiongea na mwanaume mwingine bila ruhusa ya Top In Dar na ndio Top akamvuta mpenzi wake na kumpiga makofi.Bila kuajali mapenzi yao binti huyo alikwenda moja kwa moja kituo cha polici Osterbay na kutoa taarifa ya kupigwa naTid.

Tid ametoka mida ya saa tano asubuhi kwa Dhamana na ataripoti tena polici jumatatu.

source:sammissago.com
 

0 comments :

Post a Comment