Saturday 30 November 2013

UNAJUA KWANINI FANI YA MODLING HAPA NCHINI INAFIFIA ??


Katika fani ya modeling kwa sasa inaonekana kufifia nchini, Yote ni kutokana na kutopewa nguvu kwa vijana wetu wa kitanzania ambao hujihusisha katika fani hii.
Pamoja na hilo katika fani hii kuna vigezo ambavyo wengi wa vijana hawa (models) huwa hawavizingatii katika kujihakikishia kwenye fani yao hiyo Baadhi ya vigezo hivo ni..




BODY STRUCTURE:

 

APPEARANCE:
 
 
Hapo juu ni kijana ambaye kwa upande mwengine ana muonekano mzuri wa kufanya kazi hii ya modeling lakini kama ilivyo kwa vijana wengine wa kitanzania ambao vipaji vyao hua havina mgunduaji au mwendelezaji kabisa na hivyo kupelekea kuzikuza kazi na vipaji kutoka nje ya nchi pasipo kuendeleza vijana wa kitanzania na kutambua mchango wa wale wachache na kuwakuza ili nao kufikia level za juu kama ilivyo kwa nchi nyengine za ULAYA.

Katika kuendeleza vipaji hivi au kufanya kazi na model wetu huyu wa leo tutumie ujumbe kupitia
namba zetu hapo juu…






0 comments :

Post a Comment