Saturday 10 August 2013

GERVINHO AKAMILISHA USAJILI AS ROMA


Winga mshmbuliaji wa ivory coast Gervias Lombe Yao kouassi maarufu kama gervinho amekamilisha uhamisho wa kuichezea AS Roma ya italia.
uhamisho wa winga huyo umetajwa kua ni wa paundi millioni 8 walizopewa arsenal.
Gervinho alihamia arsenal mwaka 2011 akitokea lile ya ufaransa na msimu wake wa kwanza aliifungia arsenal magoli manne kabla ya kufunga magoli saba msimu uliopita. Amekua akipata ushindani wa kuwemo kwenye kikosi cha kwanza cha Arsene Wenger na huenda usajili wake wa kuhamia serie A utakua changamoto mpya kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26.
Source:bbcswahili.com

0 comments :

Post a Comment