Monday 21 July 2014

DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA DAU LA SH: MIL 1 KWA ATAKAYE FANYA HIVI..

Diamond platnumz ametangaza dau kwa mtu au kundi lolote ambayo itaweza kutoa staili kali kwa ajili ya kutumia katika wimbo wake mpya "Mdogo
Mdogo"..Diamond ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa instagram..

0 comments :

Post a Comment