Sunday 4 August 2013

SHEMEJI YETU ONEAL AYAAGA RASMI MASHINDANO YA BBA

mshiriki  wa BBA kutoka Botswana "ONEAL" usiku wa kuamkia leo ameeyaaga rasmi mashindano hayo... mshiriki huyo ambaye alikua na uhusiano wa kimapenzi na mshiriki kutoka Tanzania "FEZA" ameaga jumba hilo baada ya kuwa na kura chache ukilinganisha na  washiriki wenzake aliokua nao kwenye kikaango.. ONEAL alikua kikaangoni na washiriki wengine wawili ambao ni FEZA pamoja na BIMP kutoka Ethopia
 vid_928task_p29_357.jpg

 vid_10_070.jpg
 Eviction: Oneal given the boot!
 oneal akiwa na IK tayari kwa kuondoka...
News: Oneal declares love for Feza
Oneal(kushoto) akibadilisha mazungumzo na BIMP(kulia) kipindi hajayaaga mashindano

0 comments :

Post a Comment