Friday 9 August 2013

MASHABIKI WAMKIMBILIA DIAMOND AWASAINIE AUTOGRAPH

Cheki na hii picha inayomuonesha Diamond Platnumz akikimbiliwa na mashabiki zake hii ilitokea hapo jana kipindi mkali huyo akishoot tangazo la Coca-Cola


Bongo kama mbele yani.... noma sana

0 comments :

Post a Comment