Saturday 24 August 2013

CHEKI MAYOR WA TORONTO "ROB FORD" ALIVYOMSHINDA "HULK HOGAN" KATIKA MIELEKA YA MKONO KWA MKONO

Mayor wa Toronto "Rob Ford" amemshinda mwana mieleka wa zamani "Hulk Hogan" katika mieleka ya mkono kwa mkono kwenye uzinduzi wa ''City Annual pop culture"https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTlOWMYQvElG1Y9-MSo93m2S8yLRlk_8yhc0O3QToZli0qhm16sKg
Meya wa Toronto(kushoto) na Hulk hogan (kulia)

https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRNGbjYcRgxEKtb9rfnBYczYZZsY4UAIYgcwOeNsgeukxmq6Hei-Q
Meya huyo wa Toronto amemshinda bingwa mara 14 katika wrestling katika ushindani huo...
 https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQU8m0aGuSrfi4b9YoBNVY3guafA6_ud67dsPPFfMqBm_3t2N5N
meya huyo alionekana kushindwa katika sekunde ishirini za mwanzo lakini baadae aliweza kushusha mkono wa HULK chini
 https://encrypted-tbn3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQwdqSYc8I0SpFZBpRL7HaPqrPr3ttZKOngeL3Guv_BrjvKoQM8
                             Hulk kakubali kushindwa
https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSG0EntZ53XNFXAZnvRXyF1jtVSPTGmLZvwudqGxgeedXA8FlA1XQ
Hulk Hogan ambaye jina lake kamili ni Terry Bollea alikua Toronto kwa ajili ya kipindi cha maswali na majibu..
Mr Ford alisema kua Hulk Hogan amekua shujaa wake toka kipindi yuko mdogo na akatweet baada ya ushindi huo kwamba "i own this town @ Hulk Hogan..Thanks for being such a great sport"

0 comments :

Post a Comment