Friday 18 July 2014

HUU NDIO MSIMAMO WA FIFA KWA TIMU ZA TAIFA BAADA YA KOMBE LA DUNIA

Ujerumani imechukua namba moja katika msimamo wa Fifa kwa mara ya

kwanza katika kipindi cha miaka 24. Mabingwa hao mara nne, wamechukua
nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Spain. Argentina ni ya pili, na Uhoanzi ni
ya tatu. Spain imeporomoka hadi namba nane . Ureno namba 11 , Italy 14 na
England ni ya 20.
Msimamo ni kama ifuatavyo , pamoja na timu kutoka Afrika Mashariki.
Nafasi ilizopanda au kushuka kwenye mabano.
1. Ujerumani (+ 1)
2. Argentina ( +3 )
3. Uholanzi (+ 12 )
4. Colombia ( + 4)
5. Ubelgiji (+ 6 )    
6. Uruguay ( + 1)  
7. Brazil (- 4)        
8. Spain ( - 7)      
9. Uswisi ( - 3)    
10. Ufaransa (+ 7)
AFRIKA MASHARIKI NA KATI
87. Uganda ( - 1)
95. Kenya ( + 13)
96. DRC ( - 12)     
106 . Tanzania (+ 7 )
109 . Rwanda ( +7 )
126 . Burundi ( +2 )
Orodha kamili: http: / / www.fifa .com / worldranking / rankingtable / (P .T )

0 comments :

Post a Comment