Tuesday 22 July 2014

HII NDIYO HALI YA VIDEO QUEEN WA ICE CREAM YA NOORAH BAADA YA KUATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA..

Video queen wa video ya ‘Ice Cream’ ya Noorah ‘Doreen’ aliyeathirika na matumizi mabaya ya madawa

ya kulevya, anadaiwa kuanza kurejea kwenye afya yake ya kawaida baada ya kupata tiba ya Methadone akiwa chini ya uangalizi wa Ray C Foundation.Kupitia Instagram, Ray C ameandika:
“Video queen aliyecheza kwenye video ya Noorah Ice cream Amerudi katika Hali yake ya kawaida baada yakuanza Tiba ya Methadone……Nafurahi sana nikiona matunda ya Ray C Foundation…………..Keep it up girl!!!
Nafurahi kukuona ukiwa na afya njema!!!!!!!Say No to Drugs.”

0 comments :

Post a Comment