Sunday 20 July 2014

BAADA YA MANENO YA ALI KIBA..DIAMOND PLATNUMZ AANDIKA UJUMBE HUU...

Wiki iliyopita kupitia mitandao ya kijamii zilitoka
stori ambazo zilizanzia kwenye 255 ya Clouds Fm
ambapo aliulizwa Ally Kiba juu ya uhusiano na
msanii mwenzake Diamond Platnumz.
Usiku wa kuamkia July 21 Diamond Platnumz
ameandika ujumbe ambao mashabiki wengi wa
muziki wa Bongo Fleva wameutafsiri kama majibu
juu ya kile alichokisema Ally Kiba wiki iliyopita.
Katika ujumbe huo ambao Diamond kapost kwenye
akaunti zake za mitandao ya kijamii
kaandika>>’Tatizo lako wewe unawaza kushindana
na mimi ili nishuke,Wakati mwenzako nawaza
kushindana na watu wa mataifa mengine ili nilete
sifa na heshima nchini kwetu’.


0 comments :

Post a Comment