Monday 17 February 2014

NEW AUDIO: JUMA NATURE feat LADY JAY DEE - KAMA JANA.. JE KAMDISI DIAMOND KWENYE HUU WIMBO??



 
Ni mastari wa kujiuliza kama Juma Nature alikua anaamaanisha Diamond Platnumz  au huenda alikua na maana nyingine kwenye huu Mstari unaosema ‘Usiwe limbukeni wewe Dada Mondi, wakikuita mashabiki unakula bundi’ Kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?

Katika wimbo huo Juma Nature anazungumzia kuhusu muziki wake wa zamani na kwamba hawezi kubadilika na kufanya kama wasanii wanaochipukia. Usikilize hapa.

0 comments :

Post a Comment