Sunday 24 November 2013

HIVI NDIVYO LADY JAYDEE ALIVOMPA MAKAVU MH. JANUARY MAKAMBA..

Lady Jaydee
Lady Jaydee kweli ni Anaconda na sio mtu wa kuchezea kwani ukiingia kichwa kichwa kwenye kumi na nane zake anakumeza na kukupaka live kama huna hoja ya msingi. Hayo yamempata Mbunge wa Bumbuli January Makamba. Angalia alichoandika Makamba hapo chini na jibu la Lady Jaydee ambaye ni mwanamuziki mwenye jina kubwa Afrika mashariki.


                                                     

 
January Makamba

2 comments :

Anonymous said...

huyo komando naye ni mnafiki tu coz alisha promotiwa vya kutosha ila akashindwa ku kukomaa, sasa hv anawaona watu wabaya. maisha bila unafiki hayaendi

Anonymous said...

komando unavompelekesha mmeo sio kila mtu ataenda ka unavotaka, kuwa na adabu mtoto wa kike

Post a Comment