Thursday 3 October 2013

PICHA: OMMY DIMPOZ ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI


Msanii Ommy Dimpoz akitia saini katika kitabu cha wageni ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington DC.Cheki picha zingine hapa...


          Ommy Dimpoz akiwa na Balozi Mulamula
Ommy Dimpoz akiwa na Balozi Mulamula (katikati) na Promota wake DMK ambaye pia ni Mkurugenzi wa MMK Media Group kampuni inayomiliki Swahili Radio Online, Swahili TV Online, Swahilitv Blog na DMK411 Blog.

0 comments :

Post a Comment