Wednesday 9 October 2013

HII NDIYO TATOO MPYA YA LULU.. NA UJUMBE KUHUSU TATOO HIYO


Lulu amepost picha Mpya na Ikionyesha Tatoo yake na kuambatanisha maneno pamoja na picha hiyo...Tazama Hapa...

lulu tatoo
Lulu Aliambatanisha Maneno Haya pamoja na picha Hiyo...
Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!!Kwa upeo Wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza Kuwa watu wako busy kuhumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake…Hivi Mungu angetaka kufanya Kama wanadamu tunavyofanya kungeangaliana kweli….Nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam

0 comments :

Post a Comment