Tuesday 10 September 2013

WEMA SEPETU NOMAA... CHEKI ALIVYOMPAGAWISHA HUYU JAMAA..


Wema Sepetu ameonesha upande wa pili wa maisha yake baada ya kunaswa akikata mauno mwanzo mwisho



Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Kibongo, Madam alifi ka na kampani yake katikaUkumbi wa Thai Village, Masaki jijini Dar hivi karibuni na
ndipo ‘mashetani’ yalipompanda baada ya kusikia sebene lililokuwa likiporomoshwa na Bendi ya Skylight.
Wema akiwa na kampani yake wakionekana kukolea kwa kilevi, waliinuka na kuanza kushindana kucheza huku Wema akijiweka ziro distance na mmoja wa wanamuziki wa bendi hiyo na kuanza kumkatikia.
 

0 comments :

Post a Comment