Monday 9 September 2013

RAY C AONYESHA KUMKUBALI YOUNG KILLER.... CHEKI ALICHOKISEMA HAPA.....


Nguli wa muziki wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ameonyesha kumkubali dogo anayekuja kasi
kwenye muziki wa Hip Hop Bongo,Young Killer kuwa ni msanii anyefanya vizuri kwenye tasnia hiyo..
 

Kupitia mtandao wa Instragramu aliuliza kuwa Nani Kaimba huu wimbo wa Mrs Superstar!!!Nijulisheni I like his Flow!He is a gud rapper. 
 
                  Young Killer


Ndio mashabiki wakamwambia kuwa ni dogo mmoja anaitwa Young Killer.

0 comments :

Post a Comment