Saturday 17 August 2013

FAHAMU MCHEZAJI ALIYEFUNGA BAO LA KWANZA KATIKA MSIMU HUU WA LIGI KUU YA ENGLAND

Ligi kuu barani ulaya yenye mashabiki wengi duniani imeanza rasmi leo ambapo katika mechi ya kwanza liverpool walikua Anfield wakiikaribisha timu ya stock city.
http://assets1.lfcimages.com/uploads/copy_(2)_of_159586352ap014_manchester_c.jpg
Daniel Sturridge ndiye mchezaji wa kwanza kufunga bao la kwanza katika msimu huu wa ligi
kuu...Sturridge alifunga bao hilo katika dakika ya 37 ya mchezo na kumfanya kua mchezaji wa kwanza kufunga bao la kwanza katika msimu huu wa ligi kuu barani humo.
Liverpool walionekana kulishambulia sana lango la wapinzani wao lakini mlinda mlango wa Stock city alikua imara na kuzuia mipira mingi isiingie langoni kwake.Mpaka mechi inaisha Liverpool 1-0 Stock city

0 comments :

Post a Comment