Thursday, 27 February 2014

NEW AUDIO: SHETTA feat DIAMOND PLATNUMZ - KEREWA


Shetta ameachia wimbo mpya unaoitwa 'Kerewa',aliomshirikisha Diamond Platinumz,wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever.

Wednesday, 26 February 2014

HUU NDIO UJUMBE WA DIAMOND PLATNUMZ KWA WASANII WANAOMCHAFUA....



 
Diamond Platnumz ameandika ujumbe kwa kile alichodai ni kusemwa vibaya na wasanii wenzake... Diamond aliandika Hivi...

Tuesday, 25 February 2014

TAARIFA KUHUSU DAKTARI FEKI ALIYEKAMATWA MUHIMBILI LEO..

Muhimbili

Leo February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na

Sunday, 23 February 2014

Friday, 21 February 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA.. UFAULU WAONGEZEKA..



Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.

Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).

Bonyeza link hii kuyaona....http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm

Thursday, 20 February 2014

HILI NDILO JIBU DAVIDO BAADA YA UVUMI KUZAGAA KUA ANATOKA NA HUYU BINTI..



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJ-MQo6Qoa_ehgoPimOZuwtqPX0_kUZtvfgGNo9bWvymJtDdqtxVZhTIihRTJqNeRZ-9vvegUJjnbTTAhe1F7obp_FL95GLuAzl1eK33ZmhWYsk4vfJC1ylZe2g9bXiLUyf1UwDDACLPM/s400/davido+and+sunshine+haye+lindaikejiblog.jpg 
Baada ya watu kuona picha (hapo juu) na kuzusha maneno kua Davido  ana mahusiano na huyo binti(model) wa south Africa… Davido amefunguka na kusema haya…

Monday, 17 February 2014

NEW AUDIO: JUMA NATURE feat LADY JAY DEE - KAMA JANA.. JE KAMDISI DIAMOND KWENYE HUU WIMBO??



 
Ni mastari wa kujiuliza kama Juma Nature alikua anaamaanisha Diamond Platnumz  au huenda alikua na maana nyingine kwenye huu Mstari unaosema ‘Usiwe limbukeni wewe Dada Mondi, wakikuita mashabiki unakula bundi’ Kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?

DIAMOND PLATNUMZ SASA KUPIGA KAZI NYINGINE NA D' BANJ..SOMA HAPA..


pichani ni Diamond Platnumz na D' BANJ wakiwa studio ready kutengeneza muziki mpya...Diamond alipost hiyo picha na kuandika maneno haya hapa chini...

HIKI NDICHO WANAJESHI WALICHOMFANYA YOUNG KILLER...



Young killer juzi kati amenyang’anywa pensi aliyokua amevaa…penzi hiyo yenye rangi za kijeshi alivuliwa huko mwanza kipindi akipita karibu na kambi moja ya jeshi huko jijini mwanza.. young killer alipost picha hii kisha kuandika maneno haya mtandaoni....

Sunday, 16 February 2014

NEW AUDIO: HOME BOYZ - NIWE NAWE.

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Home Boyz...NIWE NAWE.. feel good music alive...
DOWNLOAD HAPA...

NEW AUDIO: RAMSOLEEN feat BLAZE - NJOO..

Download na sikiliza Ngoma mpya kabisa kutoka kwa RAMSOLEEN ft Blaze...Ngoma inaitwa NJOO.. 
DOWNLOAD HAPA CHINI...

HAWA NDIO MASTAA 3 WA NIGERIA WANAOISHI MAISHA YA JUU SANA..



There’s no question that being a celebrity comes with a lot of fantastic perks. There’s fame, fortune, luxury vacations, exotic cars, mansions, private jets if possible, yachts and just generally getting special treatment everywhere you go.

Thursday, 13 February 2014

MANENO YA SAMUEL ETO'O KUHUSU EDEN HAZARD NA MDOGO WAKE KUNG'ARA CHELSEA..

London – Thorgan Hazard who is on-loan at Zulte Waregem from Chelsea will be playing Premier League next season and Samuel Eto’o already believes that along with his elder brother Eden, the two Belgians will shine at Stamford Bridge.

Tuesday, 11 February 2014

NEW AUDIO: BEN POL feat JOH MAKINI - UNANICHORA


Ile single iliyokuwa ikisubiriwa kwa ham , leo hii imedondoka kwenye maskio yako.Mkali wa R&B kipenzi cha akina dada, Ben pol leo hii ameachia mzigo wake mpya chini ya mkono wa producer Fundi Samweli "Unanichora"  akiwa na Joh  Makini..

PICHA: HUU NDIYO MUONEKANO MPYA WA NICKI MINAJ...


Hizi ndo picha zingine alizopost Nicki minaj..Tazama picha nyingine hapa.....