Young killer
juzi kati amenyang’anywa pensi aliyokua amevaa…penzi hiyo yenye rangi za
kijeshi alivuliwa huko mwanza kipindi akipita karibu na kambi moja ya jeshi
huko jijini mwanza.. young killer alipost picha hii kisha kuandika maneno haya mtandaoni....
Jeshi..letu la tanzania .na
wasifu..xana wako silias xana na kazi yao...jana jion..wamefanikiwa kunivua hii
pensi yao..ambayo mim..niliipenda kwa dhat kuliko nguo zote nilizo nazo
nyumbani..R.I.P..pensi yangu..
zaidi msikilize hapa chini...
0 comments :
Post a Comment