Ile
single iliyokuwa
ikisubiriwa kwa ham , leo hii imedondoka kwenye maskio yako.Mkali wa
R&B kipenzi cha akina dada, Ben pol leo hii ameachia mzigo wake mpya
chini ya mkono wa
producer Fundi Samweli "Unanichora" akiwa na Joh Makini..
Ngoma hii ni true story katika maisha ya Ben Pol na amesema siku zote
anapata tabu sana kufanya ngoma juu ya kitu ambacho hajakipitia katika
maisha yake.
"Siku zote nafanya ngoma kutokana na nilicho experience katika maisha
yangu, napata tabu sana katika kuandika ambacho sijakipitia katika
maisha yangu. Ngoma hii ni true story na ndio maana nimetumia maneno
marahisi sana ili ni potray kitu ambacho nataka watu kiwafikie. na
ilivyokuwa na hivyo hivyo yaani very straight, un ampenzi wako kuna watu
hawapendi mapenzi yenu, wanaongea sana, ndio marafiki zake, na
sometimes anashindwa kuonana na wewe kwasababu yao yaani vitu kama
hivyo.
0 comments :
Post a Comment