Friday, 21 February 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA.. UFAULU WAONGEZEKA..



Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.

Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).

Bonyeza link hii kuyaona....http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm

0 comments :

Post a Comment