Diamond Platnumz ameandika ujumbe kwa kile alichodai ni kusemwa vibaya na wasanii wenzake... Diamond aliandika Hivi...
kiukweli,
nasikitishwa sana jins baadhi ya wasanii kutwa wanavyolazimisha kunitengenezea
ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine wakizusha eti Nimewatusi
kwenye Media, Mara sjui Nimepost kuwakashif, yaani ilimradi tu....kwanini
Wanamuziki wa Tanzania Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki
wangu kimpango wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui
"sinatatizo"... Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya
"Sina tatizo"... sasa mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua
kwangu... Nafkiri ni vyema mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu
na kuleta heshima na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu wanataka
kazi!
0 comments :
Post a Comment