Sunday 17 November 2013

DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KUPANUA MIPAKA...SASA AKUTANA NA P-SQUARE +EMANUEL ADEBAYOR NA KUPIGA PICHA YA PAMOJA..



https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/995552_650467401641744_361870386_n.jpg 
Diamond amezidi kuthibitisha kua yuko juu baada ya kupost picha akiwa na Mchezaji maarufu kutoka TOGO (pia anaichezea Klabu ya Totenham) “Emanuel Adebayor..Tazama picha hiyo hapa chini…


 Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
 Emanuel Adebayo & Diamond
 Diamond & Iyanya
 Peter & Emanuel Adebayo


0 comments :

Post a Comment