Saturday, 15 March 2014

PICHA: HIVI NDIVYO ROSE NDAUKA NA MASTAA WENGINE WALIVYOJITOLEA KUSAFISHA JIJI..

 

Hii ni kampeni ya Rose Ndauka ambayo kaipa jina la Ng’arisha Tanzania inayohamasisha kuweka jiji la Dar es salaam katika hali ya usafi na kupendeza ambapo kampeni hii inahusisha kufagia baadhi ya mitaa katika manispaa ILALA  ili kuzoa taka na kuzitupa maeneo husika.

MAPENZI UPOFU : SOMA ALICHOKIANDIKA WEMA SEPETU KUHUSU DIAMOND NA PICHA IKIMUONESHA DIAMOND KATIKA HALI MBAYA


Da love of my life.... Dats wat he is.... Our life, our rules.... Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa....

Friday, 14 March 2014

KUHUSU GERRALD PIQUE KUMKATAZA SHAKIRA KUFANYA VIDEO NA WANAUME...

1363180842_shakira-gerard-pique-milan-lg

Ulishawahi kujiuliza kwanini video ya Shakira na Rihanna haikuwa na model yoyote wa kiume? Inawezekana hili likawa moja ya jibu: Gerard Pique hataki mchumba na mama wa mtoto wake Shakira afanye video akiwa na mwanaume mwingine.

NABII ATABIRI MAJINA YA WATU HAWA MAARUFU WANAOWEZA KUPOTEZA MAISHA



This is hilarious shocking .Prophet Samuel Baffour of El Shaddai Prayer Center made a shocking claim on Channel R- 92.7FM’s ‘205’; by giving a list of Ghanaian entertainers who may face death, the cause and nature of their death.
He said God gave him the revelation and he and members of his church are praying to salvage the lives of these celebrities but he cautioned all of them to pray without ceasing if indeed, they want to live.He failed to mention the names of the people who are plotting to kill the entertainers saying

Saturday, 8 March 2014

HUU NDIO UJIO MWINGINE WA ROMA MKATOLIKI...K.K.K...



Bila Shaka Watu wengi Mnahamu sana Ya kusikia Ujio wangu Mpya na Pia utakuwa na Maswali Mengi sana Kichwani kwako kuwa Hivi sasa Nimezungumzia nini, Kama Ilivyo kawaida ya Muziki wangu ni Kupigania na Kutetea Haki za Wanyonge, 

Tuesday, 4 March 2014

NEW AUDIO: JUX - NITASUBIRI



Chini ya producer Bob Maneck, Jux amefanikiwa kuweka hisia zake kwenye beat na kuzungumza jinsi ambavyo anampenda na jinsi alivyokuwa akijiskia kuwa mbali na mpenzi wake Jacky Cliff mara baada ya madai kuwa alikuwa amekamatwa nchini China

Saturday, 1 March 2014

NEW AUDIO: JSTORM - INCREDIBLE GIRL...

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa JSTORM ...Ngoma inaitwa INCREDIBLE GIRL..
Download na isikilize hapa chini...