Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa
al-maarufu kama “Senga” amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja
akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot
filamu mpya ya mwanadada Nisha ambayo mwigizaji huyo ameshirikishwa. Tazama
picha nyingine hapa chini...
Adam
Mchomvu (Baba jonii) amepost picha hi instagram ikionyesha kilimo cha bangi.. ambapo kuna
maneno aliambatanisha na kufanya watu waamini kwamba analima bangi..tazma picha
hiyo hapa chini..
Meli ya Australia imo njiani
kuelekea Mashariki wa Antarctica kwa ajili ya kukwamua meli ya wanasayansi
iliyokwama kwenye theluji tangu siku ya jumanne.
Awali juhudi za uokoaji zilifanywa
na wavuja theluji wa Uchina na Ufaransa lakini walikwama kutokana na unene wa
theluji..Endelea kusoma hapa chini...
Kufuatia
madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya china na
wengi kumhisi ni Jack Clief,Msanii Linex ambaye amefanya video na msichana huyu
video ya wimbo wake wa Kimugina hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa
facebook,,
Katika
kutembelea mitandaoni nimekutana na hii video ya mtoto wa kizungu akijaribu
kuimba wimbo wa young killer (Mrs Superstar)na kutoa maneno machache kwa young killer…tazama
video hapa chini…
Baada ya
sauti sol kuwapagawisha mashabiki..wanawake washindwa kujizuia na kuanza
kujifunua jukwani na kubaki uchi…tazama picha hapa chini… PLEASE NI KWA UMRI WA MIAKA 18+
Prezzo
amepost picha ya mashine ya kuhesabu pesa aliyopewa zawadi na dada ake kama
zawadi..prezo alipost picha hiyo kwenye akaunti yake ya instagram..itazame hapa…
Video mbili
zikimwonesha Agness Masogange na Nisher wa bongo movie wakicheza na kukata
mauno huku Agness akiandika kua anashukuru baby wake(Nisher) kapona na yuko
katika matayarisho ya movie mpya ambayo Agness nae atakupo ndani..Zitazame
Video hizi mbili nani Zaidi??...
Hii ilikuwa jana
pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye
stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo. Kwenye hiyo show
Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?...ENDELEA..
Mfanyakazi wa zamani wa muda katika
Shirika la Usalama la Marekani, NSA, Edward Snowden, ambaye alifichua kuwepo
kwa mipango ya Marekani kufuatilia taarifa za mawasiliano ya watu, amesema
amefaniskisha lengo lake..endelea hapa chini..
Madam Ritta amefunguka na kusema baadhi ya mambo usiyoyajua kuhusu yeye na hiki ndicho alichokisema Madam kwenye akaunti yake ya mtandao wa facebook...Tazama hapa chini...
Karrine Steffans"
ameonyesha
ujumbe unaoonyesha ameachana na rapa Lil wayne.. cha ajabu ni pale alipoweka
kila kitu mtandaoni badala ya kupiga kimya kimya..huu ndo ujumbe aliotuma…tazama
hapa chini…
SHilole amepost picha hizi za mjengo wake uliopo
kimara akimuomba mungu amsaidie aweze kuumaliza mjengo huo..tazama picha za
mjengo huo hapa chini na hii inazidi kudhihirisha kwamba sanaa inalipa..tazma
picha hapa chini na maneno ya shilole kuhusu picha hiyo..
At last year’s London Olympics,
there was uproar of drama regarding 11-time USA Olympic swimming medalist Ryan
Lochte and his mum’s comments about his sex life. She stated, “He goes out on
one-night stands. He’s not able to fully give to a relationship because he’s
always on the go.” ..Continue here...
Motto mdogo amewashangaza walio wengi baada ya
kuzaliwa na vidole 34…Akshat Saxena ana vidole 7 katika kila mkono wake na pia
ana vidole 10 katika kila mguu wake lakini hakuna dole gumba…tazama picha zaidi hapa chini...
Habari kuhusu kifo cha Nelson
Mandela zimetangazwa na Rais wa sasa wa Africa Kusini Bwana Jacob Zuma dakika
chache kuelekea saa saba usiku wa kuamkia leo December 6 2013. Pia vyombo vya
habari Bbc Na CNN vimetangaza kuwa Mandela amefariki akiwa na miaka 95 na
alikuwa hospitalini kwa muda mrefu akipata matibabu..Endelea hapa...
Seneta maarufu na mwenye vituko nchini Kenya maarufu
kama SONKO ameonyesha picha za simu yake ya mezani yenye umbo la msichana
aliyevaa bikini…Tazama hapa chini picha zaidi..
Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid
Ramadhan aka Tunda Man, alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanamiliki
silaha za moto (bastola), kitu kilichofahamika na kuandikwa na baadhi ya vyombo
vya habari mapema..endelea hapa chini...
Hapo jana mwanadada Irene uwoya
aligeuka mada ya mtandao mmoja maarufu wa kijamii baada ya kuweka picha ya
mwigizaji wa marekani Vin Diesel ikiwa na maneno ya “R.I.P – Bwana ametoa na
bwana ametwaa” kwa jamaa huyo kuwa amefariki kitu ambacho sio
kweli na ndipo mashabiki walipoanza kumshambulia mwanadada huyo kuwa awe
anafanya research na sio kupost vitu ambavyo havielewi il mradi amepost..Endelea hapa chini..
Msanii chipukizi wa muziki wa
kizazi kipya(bongo flava) Ally Timbulo (Timbulo) amefumwa akifanya MAPENZI
na chipukizi wa filamu Isabela Francis,tukio hili
lilitokea juzi usiku wa manane maeneo ya Ilala. tazama picha wakiwa
kwenye mahaba mazito!!!!..
ANAVYOKUTAZAMA
Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi
kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko
wasiopendana, ambao kiwango chao ni asilimia 30-50. endelea hapa chini...
NYOTA wa filamu na mshindi wa zamani wa Tuzo ya
Mwigizaji Bora wa Kike nchini, Riyama Ally a.k.a Riyama amewataka wasanii
wenzake kuacha tabia alizoziita za kijinga kwa kuiga maisha na uigizaji wa
wasanii wa ng’ambo.
Siku ya jana asubuhi maswali mengi yamejitokeza
kutokana na yule mwana dada mwenye ngoma kali ambayo inasumbua jiji ya Sugua
Gaga maarufu kama Shaa, Kupost kitu kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii
wa Instagram ambacho kimefanaya mashabiki na wapenzi wa muziki wake
kujiuliza maswali.