BAADA YA ADAM MCHOMVU KUPOST HII PICHA.. MASHABIKI WAHISI ANAFANYA KILIMO CHA BANGI..
Adam
Mchomvu (Baba jonii) amepost picha hi instagram ikionyesha kilimo cha bangi.. ambapo kuna
maneno aliambatanisha na kufanya watu waamini kwamba analima bangi..tazma picha
hiyo hapa chini..
0 comments :
Post a Comment