Motto mdogo amewashangaza walio wengi baada ya kuzaliwa na vidole 34…Akshat Saxena ana vidole 7 katika kila mkono wake na pia ana vidole 10 katika kila mguu wake lakini hakuna dole gumba…tazama picha zaidi hapa chini...
Mama wa motto huyo “Amrita” alisema: nilikua na
furaha pale nilipojifungua motto huyo kwakua alikua motto wetu wa kwanza lakini
nilipomuangalia kwenye vidole nilishtuka sana..Niliingia intanet na kuandika
rekodi za mwanangu nikashtuka kuona mwanangu amevunja rekodi kwa kua hiyo
rekodi ilikua ikishikiliwa na motto wa kichina aliyekua na vidole 31(15mkononi
na 16 miguuni)..(alisema mama huyo)
Akshat kutoka india kaskazini ameenda kufanyiwa surgery kuondoa
vidole vilivyozidi na madaktari wanajitahidi kutengeneza dole gumba kutokana na
vidole hivyo watakavyotoa…
0 comments :
Post a Comment